Native Bible

2 Kings 21:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akamwacha Bwana, Mungu wa baba zake, wala hakuenenda katika njia za Bwana.

2 Kings 21:22 in English

2 Kings 21:22 · Berean Standard Bible

He abandoned the LORD, the God of his fathers, and did not walk in the way of the LORD.

Context

20Akatenda maovu machoni mwa Bwana, kama baba yake Manase alivyofanya. 21Akaenenda katika njia zote za baba yake, akaabudu sanamu ambazo baba yake aliziabudu na kuzisujudia. 22Akamwacha Bwana, Mungu wa baba zake, wala hakuenenda katika njia za Bwana. 23Watumishi wa Amoni wakafanya fitina juu yake, nao wakamuulia kwake nyumbani. 24Kisha watu wa nchi wakawaua wale wote waliokuwa wamefanya hila dhidi ya Mfalme Amoni. Wakamfanya Yosia mwanawe kuwa mfalme mahali pake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.