Native Bible

2 Kings 21:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akatenda maovu machoni mwa Bwana, kama baba yake Manase alivyofanya.

2 Kings 21:20 in English

2 Kings 21:20 · Berean Standard Bible

And he did evil in the sight of the LORD, as his father Manasseh had done.

Context

18Manase akalala pamoja na baba zake na akazikwa katika bustani ya jumba lake la kifalme, katika bustani ya Uza. Naye Amoni mwanawe akawa mfalme baada yake. 19Amoni alikuwa na miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka miwili. Mamaye aliitwa Meshulemethi binti Haruzi, kutoka Yotba. 20Akatenda maovu machoni mwa Bwana, kama baba yake Manase alivyofanya. 21Akaenenda katika njia zote za baba yake, akaabudu sanamu ambazo baba yake aliziabudu na kuzisujudia. 22Akamwacha Bwana, Mungu wa baba zake, wala hakuenenda katika njia za Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.