Native Bible

2 Kings 21:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watumishi wa Amoni wakafanya fitina juu yake, nao wakamuulia kwake nyumbani.

2 Kings 21:23 in English

2 Kings 21:23 · Berean Standard Bible

Then the servants of Amon conspired against him and killed the king in his palace.

Context

21Akaenenda katika njia zote za baba yake, akaabudu sanamu ambazo baba yake aliziabudu na kuzisujudia. 22Akamwacha Bwana, Mungu wa baba zake, wala hakuenenda katika njia za Bwana. 23Watumishi wa Amoni wakafanya fitina juu yake, nao wakamuulia kwake nyumbani. 24Kisha watu wa nchi wakawaua wale wote waliokuwa wamefanya hila dhidi ya Mfalme Amoni. Wakamfanya Yosia mwanawe kuwa mfalme mahali pake. 25Matukio mengine ya utawala wa Amoni na yale aliyoyafanya, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.