Native Bible

2 Kings 10:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo Yehu akaangamiza kuabudiwa kwa Baali katika Israeli.

2 Kings 10:28 in English

2 Kings 10:28 · Berean Standard Bible

Thus Jehu eradicated Baal from Israel,

Context

26Wakaileta ile nguzo ya kuabudiwa nje ya hekalu la Baali, na wakaichoma moto. 27Wakabomoa ile nguzo ya kuabudiwa ya Baali pamoja na hekalu la Baali, nao watu wakapafanya kuwa choo hadi leo. 28Kwa hiyo Yehu akaangamiza kuabudiwa kwa Baali katika Israeli. 29Hata hivyo, Yehu hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati, ambazo alikuwa amesababisha Israeli kuzitenda, yaani kuabudu ndama za dhahabu huko Betheli ya Dani. 30Bwana akamwambia Yehu, “Kwa kuwa umefanya vyema kwa kutimiza yaliyo sawa machoni pangu, na umetenda kwa nyumba ya Ahabu yale yote niliyokuwa nimekusudia kutenda, wazao wako wataketi juu ya kiti cha enzi cha Israeli hadi kizazi cha nne.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.