2 Yohana 1:13
2 John 1:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watoto wa dada yako mteule wanakusalimu. Amen.
2 John 1:13 in English
2 John 1:13 · Berean Standard Bible
The children of your elect sister send you greetings.*
Context
11Yeyote amkaribishaye mtu wa namna hiyo anashiriki katika matendo maovu ya mtu huyo. 12Ninayo mengi ya kuwaandikia, lakini sitaki kutumia karatasi na wino. Badala yake, nataraji kuja kwenu na kuongea nanyi ana kwa ana, ili furaha yetu ipate kuwa timilifu. 13Watoto wa dada yako mteule wanakusalimu. Amen.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.