2 Yohana 1:12
2 John 1:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninayo mengi ya kuwaandikia, lakini sitaki kutumia karatasi na wino. Badala yake, nataraji kuja kwenu na kuongea nanyi ana kwa ana, ili furaha yetu ipate kuwa timilifu.
2 John 1:12 in English
2 John 1:12 · Berean Standard Bible
I have many things to write to you, but I would prefer not to do so with paper and ink. Instead, I hope to come and speak with you face to face,* so that our joy may be complete.
Context
10Msimpokee mtu yeyote anayewajia ambaye hawaletei mafundisho haya, wala msimkaribishe nyumbani mwenu. 11Yeyote amkaribishaye mtu wa namna hiyo anashiriki katika matendo maovu ya mtu huyo. 12Ninayo mengi ya kuwaandikia, lakini sitaki kutumia karatasi na wino. Badala yake, nataraji kuja kwenu na kuongea nanyi ana kwa ana, ili furaha yetu ipate kuwa timilifu. 13Watoto wa dada yako mteule wanakusalimu. Amen.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.