Native Bible

2 Chronicles 8:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Solomoni akajenga tena vijiji vile ambavyo Hiramu alikuwa amempa, naye akawapa Waisraeli waishi humo.

2 Chronicles 8:2 in English

2 Chronicles 8:2 · Berean Standard Bible

Solomon rebuilt the cities Hiram * had given him and settled Israelites there.

Context

1Miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Solomoni alilijenga Hekalu la Bwana na jumba lake mwenyewe la kifalme, 2Solomoni akajenga tena vijiji vile ambavyo Hiramu alikuwa amempa, naye akawapa Waisraeli waishi humo. 3Kisha Solomoni akaenda Hamath-Soba na kuuteka. 4Pia akajenga mji wa Tadmori katika jangwa na miji yote ya kuhifadhia vitu katika Hamathi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.