Native Bible

2 Chronicles 8:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Solomoni alilijenga Hekalu la Bwana na jumba lake mwenyewe la kifalme,

2 Chronicles 8:1 in English

2 Chronicles 8:1 · Berean Standard Bible

Now at the end of the twenty years during which Solomon had built the house of the LORD and his own palace,

Context

1Miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Solomoni alilijenga Hekalu la Bwana na jumba lake mwenyewe la kifalme, 2Solomoni akajenga tena vijiji vile ambavyo Hiramu alikuwa amempa, naye akawapa Waisraeli waishi humo. 3Kisha Solomoni akaenda Hamath-Soba na kuuteka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.