Native Bible

2 Chronicles 29:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akawaingiza makuhani na Walawi ndani na kuwakutanisha katika uwanja upande wa mashariki

2 Chronicles 29:4 in English

2 Chronicles 29:4 · Berean Standard Bible

Then he brought in the priests and Levites and gathered them in the square on the east side.

Context

2Akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana kama Daudi baba yake alivyofanya. 3Katika mwezi wa kwanza wa mwaka wa kwanza wa utawala wa alifungua milango ya Hekalu la Bwana, na kuikarabati. 4Akawaingiza makuhani na Walawi ndani na kuwakutanisha katika uwanja upande wa mashariki 5na kusema: “Nisikilizeni mimi, enyi Walawi! Jitakaseni nafsi zenu sasa, mkaitakase na nyumba ya Bwana, Mungu wa baba zenu. Ondoeni uchafu wote kutoka mahali patakatifu. 6Baba zetu hawakuwa waaminifu, walifanya maovu machoni pa Bwana Mungu wetu na wakamwacha yeye. Wakageuza nyuso zao mbali na Maskani ya Bwana wakamgeuzia visogo vyao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.