2 Nyakati 29:2
2 Chronicles 29:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana kama Daudi baba yake alivyofanya.
2 Chronicles 29:2 in English
2 Chronicles 29:2 · Berean Standard Bible
And he did what was right in the eyes of the LORD, just as his father David had done.
Context
1Hezekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka ishirini na tisa. Mama yake aliitwa Abiya binti Zekaria. 2Akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana kama Daudi baba yake alivyofanya. 3Katika mwezi wa kwanza wa mwaka wa kwanza wa utawala wa alifungua milango ya Hekalu la Bwana, na kuikarabati. 4Akawaingiza makuhani na Walawi ndani na kuwakutanisha katika uwanja upande wa mashariki
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.