Native Bible

2 Chronicles 11:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akajenga Bethlehemu, Etamu, Tekoa,

2 Chronicles 11:6 in English

2 Chronicles 11:6 · Berean Standard Bible

He built up Bethlehem, Etam, Tekoa,

Context

4‘Hili ndilo asemalo Bwana: Msipande kupigana dhidi ya ndugu zenu. Nendeni nyumbani, kila mmoja wenu, kwa kuwa hili nimelitenda mimi.’ ” Kwa hiyo wakalitii neno la Bwana na wakaacha kwenda kupigana dhidi ya Yeroboamu. 5Rehoboamu akaishi Yerusalemu akajenga miji yenye ngome katika Yuda: 6Akajenga Bethlehemu, Etamu, Tekoa, 7Beth-Suri, Soko, Adulamu, 8Gathi, Maresha, Zifu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.