2 Nyakati 11:5
2 Chronicles 11:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Rehoboamu akaishi Yerusalemu akajenga miji yenye ngome katika Yuda:
2 Chronicles 11:5 in English
2 Chronicles 11:5 · Berean Standard Bible
Rehoboam continued to live in Jerusalem, and he built up cities for defense in Judah.
Context
3“Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni mfalme wa Yuda, na Israeli wote walioko Yuda na Benyamini, 4‘Hili ndilo asemalo Bwana: Msipande kupigana dhidi ya ndugu zenu. Nendeni nyumbani, kila mmoja wenu, kwa kuwa hili nimelitenda mimi.’ ” Kwa hiyo wakalitii neno la Bwana na wakaacha kwenda kupigana dhidi ya Yeroboamu. 5Rehoboamu akaishi Yerusalemu akajenga miji yenye ngome katika Yuda: 6Akajenga Bethlehemu, Etamu, Tekoa, 7Beth-Suri, Soko, Adulamu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.