Native Bible

2 Chronicles 10:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo Israeli wakaasi dhidi ya nyumba ya Daudi hadi leo.

2 Chronicles 10:19 in English

2 Chronicles 10:19 · Berean Standard Bible

So to this day Israel has been in rebellion against the house of David.

Context

17Lakini kwa habari ya Waisraeli waliokuwa wakiishi katika miji ya Yuda, Rehoboamu akaendelea kuwatawala bado. 18Mfalme Rehoboamu akamtuma Adoniramu* aliyekuwa msimamizi wa wale waliofanya kazi ngumu kwa kulazimishwa, lakini Israeli wote wakampiga kwa mawe hadi akafa. Hata hivyo, Mfalme Rehoboamu, akafanikiwa kuingia kwenye gari lake na kutorokea Yerusalemu. 19Hivyo Israeli wakaasi dhidi ya nyumba ya Daudi hadi leo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.