1 Timotheo 5:7
1 Timothy 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wape watu maagizo haya pia, ili asiwepo yeyote wa kulaumiwa.
1 Timothy 5:7 in English
1 Timothy 5:7 · Berean Standard Bible
Give these instructions to the believers, so that they will be above reproach.
Context
5Mwanamke ambaye ni mjane kweli kweli, yaani, yeye aliyebaki peke yake huweka tumaini lake kwa Mungu naye hudumu katika maombi usiku na mchana akimwomba Mungu ili amsaidie. 6Lakini mjane aishiye kwa anasa amekufa, ingawa anaishi. 7Wape watu maagizo haya pia, ili asiwepo yeyote wa kulaumiwa. 8Kama mtu hawatunzi wale wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani mwake mwenyewe, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini. 9Mjane yeyote asiwekwe kwenye orodha ya wajane isipokuwa awe ametimiza umri wa miaka sitini, na ambaye alikuwa mke wa mume mmoja,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.