1 Timotheo 2:2
1 Timothy 2:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa ajili ya wafalme na wale wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi kwa amani na utulivu, katika uchaji wote wa Mungu na utakatifu.
1 Timothy 2:2 in English
1 Timothy 2:2 · Berean Standard Bible
for kings and all those in authority—so that we may lead tranquil and quiet lives in all godliness and dignity.
Context
1Awali ya yote, nasihi kwamba dua, sala, maombezi na shukrani zifanyike kwa ajili ya watu wote: 2kwa ajili ya wafalme na wale wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi kwa amani na utulivu, katika uchaji wote wa Mungu na utakatifu. 3Jambo hili ni jema, tena linapendeza machoni pa Mungu Mwokozi wetu, 4anayetaka watu wote waokolewe na wafikie kuijua kweli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.