1 Timotheo 2:4
1 Timothy 2:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
anayetaka watu wote waokolewe na wafikie kuijua kweli.
1 Timothy 2:4 in English
1 Timothy 2:4 · Berean Standard Bible
who wants everyone to be saved and to come to the knowledge of the truth.
Context
2kwa ajili ya wafalme na wale wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi kwa amani na utulivu, katika uchaji wote wa Mungu na utakatifu. 3Jambo hili ni jema, tena linapendeza machoni pa Mungu Mwokozi wetu, 4anayetaka watu wote waokolewe na wafikie kuijua kweli. 5Kwa maana kuna Mungu mmoja na mpatanishi mmoja kati ya Mungu na wanadamu, yaani mwanadamu Kristo Yesu, 6aliyejitoa mwenyewe kuwa fidia kwa ajili ya wanadamu wote: jambo hili lilishuhudiwa kwa wakati wake ufaao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.