Native Bible

1 Timothy 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Awali ya yote, nasihi kwamba dua, sala, maombezi na shukrani zifanyike kwa ajili ya watu wote:

1 Timothy 2:1 in English

1 Timothy 2:1 · Berean Standard Bible

First of all, then, I urge that petitions, prayers, intercessions, and thanksgiving be offered for everyone—

Context

1Awali ya yote, nasihi kwamba dua, sala, maombezi na shukrani zifanyike kwa ajili ya watu wote: 2kwa ajili ya wafalme na wale wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi kwa amani na utulivu, katika uchaji wote wa Mungu na utakatifu. 3Jambo hili ni jema, tena linapendeza machoni pa Mungu Mwokozi wetu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.