Native Bible

1 Thessalonians 5:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajapo usiku.

1 Thessalonians 5:2 in English

1 Thessalonians 5:2 · Berean Standard Bible

For you are fully aware that the Day of the Lord will come like a thief in the night.

Context

1Basi, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira hatuna haja ya kuwaandikia, 2kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajapo usiku. 3Wakati watu wanaposema, “Kuna amani na salama,” maangamizi huwajia ghafula, kama vile utungu umjiavyo mwanamke mwenye mimba; nao hakika hawatatoroka. 4Bali ninyi, ndugu, hampo gizani hata siku ile iwakute ghafula kama mwizi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.