1 Wathesalonike 5:1
1 Thessalonians 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira hatuna haja ya kuwaandikia,
1 Thessalonians 5:1 in English
1 Thessalonians 5:1 · Berean Standard Bible
Now about the times and seasons, brothers, we do not need to write to you.
Context
1Basi, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira hatuna haja ya kuwaandikia, 2kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajapo usiku. 3Wakati watu wanaposema, “Kuna amani na salama,” maangamizi huwajia ghafula, kama vile utungu umjiavyo mwanamke mwenye mimba; nao hakika hawatatoroka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.