1 Samweli 8:22
1 Samuel 8:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akamjibu, “Wasikilize na uwape mfalme.” Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, “Kila mmoja arudi mjini kwake.”
1 Samuel 8:22 in English
1 Samuel 8:22 · Berean Standard Bible
“Listen to their voice,” the LORD said to Samuel. “Appoint a king for them.” Then Samuel told the men of Israel, “Everyone must go back to his city.”
Context
20Kisha tutakuwa kama mataifa mengine yote, tukiwa na mfalme wa kutuongoza na kwenda mbele yetu na kutupigania vita vyetu.” 21Samweli aliposikia yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za Bwana. 22Bwana akamjibu, “Wasikilize na uwape mfalme.”
Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, “Kila mmoja arudi mjini kwake.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.