1 Samweli 8:21
1 Samuel 8:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Samweli aliposikia yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za Bwana.
1 Samuel 8:21 in English
1 Samuel 8:21 · Berean Standard Bible
Samuel listened to all the words of the people and repeated them in the hearing of the LORD.
Context
19Lakini watu wakakataa kumsikiliza Samweli wakasema, “Hapana! Tunataka mfalme wa kututawala. 20Kisha tutakuwa kama mataifa mengine yote, tukiwa na mfalme wa kutuongoza na kwenda mbele yetu na kutupigania vita vyetu.” 21Samweli aliposikia yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za Bwana. 22Bwana akamjibu, “Wasikilize na uwape mfalme.”
Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, “Kila mmoja arudi mjini kwake.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.