Native Bible

1 Samuel 8:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha tutakuwa kama mataifa mengine yote, tukiwa na mfalme wa kutuongoza na kwenda mbele yetu na kutupigania vita vyetu.”

1 Samuel 8:20 in English

1 Samuel 8:20 · Berean Standard Bible

Then we will be like all the other nations, with a king to judge us, to go out before us, and to fight our battles.”

Context

18Siku ile itakapowadia, mtalia kwa kutaka msaada kutokana na mfalme mliyemchagua, naye Bwana hatawajibu.” 19Lakini watu wakakataa kumsikiliza Samweli wakasema, “Hapana! Tunataka mfalme wa kututawala. 20Kisha tutakuwa kama mataifa mengine yote, tukiwa na mfalme wa kutuongoza na kwenda mbele yetu na kutupigania vita vyetu.” 21Samweli aliposikia yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za Bwana. 22Bwana akamjibu, “Wasikilize na uwape mfalme.” Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, “Kila mmoja arudi mjini kwake.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.