1 Samweli 8:19
1 Samuel 8:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini watu wakakataa kumsikiliza Samweli wakasema, “Hapana! Tunataka mfalme wa kututawala.
1 Samuel 8:19 in English
1 Samuel 8:19 · Berean Standard Bible
Nevertheless, the people refused to listen to Samuel. “No!” they said. “We must have a king over us.
Context
17Atachukua sehemu ya kumi ya makundi yenu ya kondoo na mbuzi, na ninyi wenyewe mtakuwa watumwa wake. 18Siku ile itakapowadia, mtalia kwa kutaka msaada kutokana na mfalme mliyemchagua, naye Bwana hatawajibu.” 19Lakini watu wakakataa kumsikiliza Samweli wakasema, “Hapana! Tunataka mfalme wa kututawala. 20Kisha tutakuwa kama mataifa mengine yote, tukiwa na mfalme wa kutuongoza na kwenda mbele yetu na kutupigania vita vyetu.” 21Samweli aliposikia yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.