1 Samweli 19:14
1 Samuel 19:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sauli alipotuma watu kumkamata Daudi, Mikali akasema, “Yeye ni mgonjwa.”
1 Samuel 19:14 in English
1 Samuel 19:14 · Berean Standard Bible
When Saul sent the messengers to seize David, Michal said, “He is ill.”
Context
12Basi Mikali akamteremsha Daudi kupitia dirishani, naye akakimbia na kuokoka. 13Kisha Mikali akachukua kinyago, akakilaza kitandani, akakifunika kwa vazi na kukiwekea singa za mbuzi kichwani. 14Sauli alipotuma watu kumkamata Daudi, Mikali akasema, “Yeye ni mgonjwa.” 15Kisha Sauli akatuma watu tena kumwona Daudi naye akawaambia, “Mleteni kwangu juu ya kitanda chake ili nipate kumuua.” 16Lakini wale watu walipoingia, kumbe ni kinyago tu kilichokuwa kitandani na kwenye kichwa kulikuwepo na singa za mbuzi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.