Native Bible

1 Samuel 19:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Mikali akamteremsha Daudi kupitia dirishani, naye akakimbia na kuokoka.

1 Samuel 19:12 in English

1 Samuel 19:12 · Berean Standard Bible

So Michal lowered David from the window, and he ran away and escaped.

Context

10Sauli akajaribu kumchomea Daudi ukutani kwa huo mkuki wake, lakini Daudi akauhepa huo mkuki wa Sauli ukakita ukutani. Usiku ule ule Daudi akakimbia na kuokoka. 11Sauli akatuma watu nyumbani mwa Daudi wailinde hiyo nyumba na kumuua asubuhi. Lakini Mikali, mkewe Daudi, akamwonya akisema, “Kama hukukimbia kuokoa maisha yako usiku huu, kesho yake utauawa.” 12Basi Mikali akamteremsha Daudi kupitia dirishani, naye akakimbia na kuokoka. 13Kisha Mikali akachukua kinyago, akakilaza kitandani, akakifunika kwa vazi na kukiwekea singa za mbuzi kichwani. 14Sauli alipotuma watu kumkamata Daudi, Mikali akasema, “Yeye ni mgonjwa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.