1 Samweli 17:58
1 Samuel 17:58 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sauli akamuuliza, “Kijana, wewe ni mwana wa nani?” Daudi akasema, “Mimi ni mwana wa mtumishi wako Yese wa Bethlehemu.”
1 Samuel 17:58 in English
1 Samuel 17:58 · Berean Standard Bible
“Whose son are you, young man?” asked Saul. “I am the son of your servant Jesse of Bethlehem,” David replied.
Context
56Mfalme akasema, “Uliza huyu kijana ni mwana wa nani.” 57Mara Daudi aliporudi kutoka kumuua huyo Mfilisti, Abneri akamchukua na kumleta mbele ya Sauli. Daudi alikuwa bado anakishikilia kichwa cha yule Mfilisti. 58Sauli akamuuliza, “Kijana, wewe ni mwana wa nani?”
Daudi akasema, “Mimi ni mwana wa mtumishi wako Yese wa Bethlehemu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.