1 Samweli 17:57
1 Samuel 17:57 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mara Daudi aliporudi kutoka kumuua huyo Mfilisti, Abneri akamchukua na kumleta mbele ya Sauli. Daudi alikuwa bado anakishikilia kichwa cha yule Mfilisti.
1 Samuel 17:57 in English
1 Samuel 17:57 · Berean Standard Bible
So when David returned from killing the Philistine, still holding his head in his hand, Abner took him and brought him before Saul.
Context
55Sauli alipomwona Daudi anakwenda kukabiliana na huyo Mfilisti, alimwambia Abneri, jemadari wa jeshi, “Abneri, yule kijana ni mwana wa nani?”
Abneri akajibu, “Hakika kama uishivyo, ee mfalme, mimi sifahamu.” 56Mfalme akasema, “Uliza huyu kijana ni mwana wa nani.” 57Mara Daudi aliporudi kutoka kumuua huyo Mfilisti, Abneri akamchukua na kumleta mbele ya Sauli. Daudi alikuwa bado anakishikilia kichwa cha yule Mfilisti. 58Sauli akamuuliza, “Kijana, wewe ni mwana wa nani?”
Daudi akasema, “Mimi ni mwana wa mtumishi wako Yese wa Bethlehemu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.