1 Samweli 1:27
1 Samuel 1:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Niliomba mtoto huyu, naye Bwana amenijalia kile nilichomwomba.
1 Samuel 1:27 in English
1 Samuel 1:27 · Berean Standard Bible
I prayed for this boy, and since the LORD has granted me what I asked of Him,
Context
25Walipokwisha kumchinja yule fahali, wakamleta mtoto kwa Eli, 26naye Hana akamwambia Eli, “Hakika kama uishivyo, bwana wangu, mimi ndiye yule mama ambaye alisimama hapa karibu nawe akiomba kwa Bwana. 27Niliomba mtoto huyu, naye Bwana amenijalia kile nilichomwomba. 28Hivyo sasa ninamtoa kwa Bwana. Kwa maana maisha yake yote atakuwa ametolewa kwa Bwana.” Naye akamwabudu Bwana huko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.