Native Bible

1 Samuel 1:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo sasa ninamtoa kwa Bwana. Kwa maana maisha yake yote atakuwa ametolewa kwa Bwana.” Naye akamwabudu Bwana huko.

1 Samuel 1:28 in English

1 Samuel 1:28 · Berean Standard Bible

I now dedicate the boy to the LORD. For as long as he lives, he is dedicated to the LORD.” So they worshiped * the LORD there.

Context

26naye Hana akamwambia Eli, “Hakika kama uishivyo, bwana wangu, mimi ndiye yule mama ambaye alisimama hapa karibu nawe akiomba kwa Bwana. 27Niliomba mtoto huyu, naye Bwana amenijalia kile nilichomwomba. 28Hivyo sasa ninamtoa kwa Bwana. Kwa maana maisha yake yote atakuwa ametolewa kwa Bwana.” Naye akamwabudu Bwana huko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.