1 Petro 5:14
1 Peter 5:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Salimianeni kwa busu la upendo. Amani iwe nanyi nyote mlio katika Kristo.
1 Peter 5:14 in English
1 Peter 5:14 · Berean Standard Bible
Greet one another with a kiss of love. Peace to all of you who are in Christ.*
Context
12Kwa msaada wa Silvano,* ambaye ninamhesabu kuwa ndugu mwaminifu, nimewaandikia waraka huu mfupi ili kuwatia moyo, na kushuhudia kwamba hii ni neema halisi ya Mungu. Simameni imara katika neema hiyo. 13Kanisa lililoko Babeli, lililochaguliwa pamoja nanyi, wanawasalimu; vivyo hivyo mwanangu Marko anawasalimu. 14Salimianeni kwa busu la upendo.
Amani iwe nanyi nyote mlio katika Kristo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.