Native Bible

1 Peter 5:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kanisa lililoko Babeli, lililochaguliwa pamoja nanyi, wanawasalimu; vivyo hivyo mwanangu Marko anawasalimu.

1 Peter 5:13 in English

1 Peter 5:13 · Berean Standard Bible

The church in Babylon,* chosen together with you, sends you greetings, as does my son Mark.

Context

11Uweza una yeye milele na milele. Amen. 12Kwa msaada wa Silvano,* ambaye ninamhesabu kuwa ndugu mwaminifu, nimewaandikia waraka huu mfupi ili kuwatia moyo, na kushuhudia kwamba hii ni neema halisi ya Mungu. Simameni imara katika neema hiyo. 13Kanisa lililoko Babeli, lililochaguliwa pamoja nanyi, wanawasalimu; vivyo hivyo mwanangu Marko anawasalimu. 14Salimianeni kwa busu la upendo. Amani iwe nanyi nyote mlio katika Kristo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.