1 Wafalme 4:24
1 Kings 4:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa Solomoni alitawala falme zote magharibi ya mto, kuanzia Tifsa hadi Gaza, naye akawa na amani pande zote.
1 Kings 4:24 in English
1 Kings 4:24 · Berean Standard Bible
For Solomon had dominion over everything west of the Euphrates *—over all the kingdoms from Tiphsah to Gaza—and he had peace on all sides.
Context
22Mahitaji ya Solomoni ya kila siku yalikuwa kori thelathini* za unga laini, kori sitini* za unga wa kawaida. 23Ngʼombe kumi wa zizini, ngʼombe ishirini wa malisho, kondoo na mbuzi mia moja, pamoja na ayala, paa, kulungu na kuku wazuri sana. 24Kwa kuwa Solomoni alitawala falme zote magharibi ya mto, kuanzia Tifsa hadi Gaza, naye akawa na amani pande zote. 25Wakati wa maisha ya Solomoni Yuda na Israeli, kuanzia Dani mpaka Beer-Sheba, wakaishi salama kila mtu chini ya mzabibu wake na chini ya mtini wake. 26Solomoni alikuwa na mabanda 4,000* ya magari ya vita, na farasi 12,000.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.