1 Wafalme 4:26
1 Kings 4:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Solomoni alikuwa na mabanda 4,000* ya magari ya vita, na farasi 12,000.
1 Kings 4:26 in English
1 Kings 4:26 · Berean Standard Bible
Solomon had 4,000 * stalls for his chariot horses and 12,000 horses.*
Context
24Kwa kuwa Solomoni alitawala falme zote magharibi ya mto, kuanzia Tifsa hadi Gaza, naye akawa na amani pande zote. 25Wakati wa maisha ya Solomoni Yuda na Israeli, kuanzia Dani mpaka Beer-Sheba, wakaishi salama kila mtu chini ya mzabibu wake na chini ya mtini wake. 26Solomoni alikuwa na mabanda 4,000* ya magari ya vita, na farasi 12,000. 27Maafisa wa eneo hilo, kila mmoja katika mwezi wake, walileta mahitaji kwa ajili ya Mfalme Solomoni na wote waliokula mezani mwa mfalme. Walihakikisha kuwa hakuna chochote kilichopungua. 28Pia walileta sehemu walizopangiwa za shayiri na majani kwa ajili ya farasi wavutao magari na farasi wengine mahali palipostahili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.