1 Wafalme 18:2
1 Kings 18:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo Eliya akaenda kujionyesha kwa Ahabu. Wakati huu njaa ilikuwa kali sana katika Samaria,
1 Kings 18:2 in English
1 Kings 18:2 · Berean Standard Bible
So Elijah went to present himself to Ahab. The famine was severe in Samaria,
Context
1Baada ya muda mrefu, katika mwaka wa tatu, neno la Bwana likamjia Eliya kusema, “Nenda ukajionyeshe kwa Ahabu na mimi nitanyesha mvua juu ya nchi.” 2Kwa hiyo Eliya akaenda kujionyesha kwa Ahabu.
Wakati huu njaa ilikuwa kali sana katika Samaria, 3naye Ahabu alikuwa amemwita Obadia ambaye alikuwa msimamizi wa jumba lake la kifalme. (Obadia alimcha Bwana sana. 4Wakati Yezebeli alipokuwa akiwaua manabii wa Bwana, Obadia alikuwa amewachukua manabii mia moja na kuwaficha katika mapango mawili, hamsini kwenye kila moja na akawa akiwapa chakula na maji.)
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.