1 Wafalme 18:1
1 Kings 18:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya muda mrefu, katika mwaka wa tatu, neno la Bwana likamjia Eliya kusema, “Nenda ukajionyeshe kwa Ahabu na mimi nitanyesha mvua juu ya nchi.”
1 Kings 18:1 in English
1 Kings 18:1 · Berean Standard Bible
After a long time, in the third year of the drought,* the word of the LORD came to Elijah: “Go and present yourself to Ahab, and I will send rain upon the face of the earth.”
Context
1Baada ya muda mrefu, katika mwaka wa tatu, neno la Bwana likamjia Eliya kusema, “Nenda ukajionyeshe kwa Ahabu na mimi nitanyesha mvua juu ya nchi.” 2Kwa hiyo Eliya akaenda kujionyesha kwa Ahabu.
Wakati huu njaa ilikuwa kali sana katika Samaria, 3naye Ahabu alikuwa amemwita Obadia ambaye alikuwa msimamizi wa jumba lake la kifalme. (Obadia alimcha Bwana sana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.