Native Bible

1 Corinthians 15:56 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uchungu wa mauti ni dhambi na nguvu ya dhambi ni sheria.

1 Corinthians 15:56 in English

1 Corinthians 15:56 · Berean Standard Bible

The sting of death is sin, and the power of sin is the law.

Context

54Kwa hiyo, mwili huu wa kuharibika utakapovaa kutokuharibika, nao huu mwili wa kufa utakapovaa kutokufa, ndipo lile neno lililoandikwa litakapotimia: “Mauti imemezwa kwa kushinda.” 55“Kuko wapi, ee mauti, kushinda kwako? Uko wapi, ee mauti, uchungu wako?” 56Uchungu wa mauti ni dhambi na nguvu ya dhambi ni sheria. 57Lakini ashukuriwe Mungu, yeye atupaye ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. 58Kwa hiyo, ndugu zangu wapenzi, simameni imara, msitikisike, mzidi sana katika kuitenda kazi ya Bwana, kwa maana mnajua ya kuwa, kazi yenu katika Bwana si bure.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.