1 Wakorintho 15:55
1 Corinthians 15:55 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kuko wapi, ee mauti, kushinda kwako? Uko wapi, ee mauti, uchungu wako?”
1 Corinthians 15:55 in English
1 Corinthians 15:55 · Berean Standard Bible
“Where, O Death, is your victory? Where, O Death, is your sting?”*
Context
53Kwa maana mwili huu wa kuharibika lazima uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa lazima uvae kutokufa. 54Kwa hiyo, mwili huu wa kuharibika utakapovaa kutokuharibika, nao huu mwili wa kufa utakapovaa kutokufa, ndipo lile neno lililoandikwa litakapotimia: “Mauti imemezwa kwa kushinda.” 55“Kuko wapi, ee mauti, kushinda kwako?
Uko wapi, ee mauti, uchungu wako?” 56Uchungu wa mauti ni dhambi na nguvu ya dhambi ni sheria. 57Lakini ashukuriwe Mungu, yeye atupaye ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.