Native Bible

1 Corinthians 15:54 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo, mwili huu wa kuharibika utakapovaa kutokuharibika, nao huu mwili wa kufa utakapovaa kutokufa, ndipo lile neno lililoandikwa litakapotimia: “Mauti imemezwa kwa kushinda.”

1 Corinthians 15:54 in English

1 Corinthians 15:54 · Berean Standard Bible

When the perishable has been clothed with the imperishable and the mortal with immortality,* then the saying that is written will come to pass: “Death has been swallowed up in victory.”*

Context

52ghafula, kufumba na kufumbua, parapanda ya mwisho itakapolia. Kwa kuwa parapanda italia, nao wafu watafufuliwa na miili isiyoharibika, nasi tutabadilishwa. 53Kwa maana mwili huu wa kuharibika lazima uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa lazima uvae kutokufa. 54Kwa hiyo, mwili huu wa kuharibika utakapovaa kutokuharibika, nao huu mwili wa kufa utakapovaa kutokufa, ndipo lile neno lililoandikwa litakapotimia: “Mauti imemezwa kwa kushinda.” 55“Kuko wapi, ee mauti, kushinda kwako? Uko wapi, ee mauti, uchungu wako?” 56Uchungu wa mauti ni dhambi na nguvu ya dhambi ni sheria.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.