1 Wakorintho 12:6
1 Corinthians 12:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha kuna tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule atendaye kazi zote kwa watu wote.
1 Corinthians 12:6 in English
1 Corinthians 12:6 · Berean Standard Bible
There are different ways of working, but the same God works all things in all people.
Context
4Kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni yule yule. 5Kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana ni yule yule. 6Kisha kuna tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule atendaye kazi zote kwa watu wote. 7Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote. 8Maana mtu mmoja kwa Roho hupewa neno la hekima na mwingine neno la maarifa kwa Roho huyo huyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.