Native Bible

1 Corinthians 12:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote.

1 Corinthians 12:7 in English

1 Corinthians 12:7 · Berean Standard Bible

Now to each one the manifestation of the Spirit is given for the common good.

Context

5Kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana ni yule yule. 6Kisha kuna tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule atendaye kazi zote kwa watu wote. 7Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote. 8Maana mtu mmoja kwa Roho hupewa neno la hekima na mwingine neno la maarifa kwa Roho huyo huyo. 9Mtu mwingine imani kwa huyo Roho na mwingine karama za kuponya kwa huyo Roho mmoja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.