Native Bible

1 Corinthians 11:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo, ndugu zangu, mkutanikapo pamoja ili kula, mngojane.

1 Corinthians 11:33 in English

1 Corinthians 11:33 · Berean Standard Bible

So, my brothers, when you come together to eat, wait for one another.

Context

31Lakini kama tungejichunguza wenyewe tusingehukumiwa. 32Tunapohukumiwa na Bwana, tunaadibishwa ili tusije tukahukumiwa pamoja na ulimwengu. 33Kwa hiyo, ndugu zangu, mkutanikapo pamoja ili kula, mngojane. 34Kama mtu akiwa na njaa, ale nyumbani kwake ili mkutanapo pamoja msije mkahukumiwa. Nami nitakapokuja nitawapa maelekezo zaidi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.