Native Bible

1 Corinthians 11:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kama tungejichunguza wenyewe tusingehukumiwa.

1 Corinthians 11:31 in English

1 Corinthians 11:31 · Berean Standard Bible

Now if we judged ourselves properly, we would not come under judgment.

Context

29Kwa maana mtu yeyote alaye na kunywa pasipo kuutambua mwili wa Bwana, hula na kunywa hukumu juu yake mwenyewe. 30Hii ndiyo sababu wengi miongoni mwenu ni wagonjwa na dhaifu na wengine wenu hata wamekufa. 31Lakini kama tungejichunguza wenyewe tusingehukumiwa. 32Tunapohukumiwa na Bwana, tunaadibishwa ili tusije tukahukumiwa pamoja na ulimwengu. 33Kwa hiyo, ndugu zangu, mkutanikapo pamoja ili kula, mngojane.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.