1 Wakorintho 11:32
1 Corinthians 11:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tunapohukumiwa na Bwana, tunaadibishwa ili tusije tukahukumiwa pamoja na ulimwengu.
1 Corinthians 11:32 in English
1 Corinthians 11:32 · Berean Standard Bible
But when we are judged by the Lord, we are being disciplined so that we will not be condemned with the world.
Context
30Hii ndiyo sababu wengi miongoni mwenu ni wagonjwa na dhaifu na wengine wenu hata wamekufa. 31Lakini kama tungejichunguza wenyewe tusingehukumiwa. 32Tunapohukumiwa na Bwana, tunaadibishwa ili tusije tukahukumiwa pamoja na ulimwengu. 33Kwa hiyo, ndugu zangu, mkutanikapo pamoja ili kula, mngojane. 34Kama mtu akiwa na njaa, ale nyumbani kwake ili mkutanapo pamoja msije mkahukumiwa.
Nami nitakapokuja nitawapa maelekezo zaidi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.