Native Bible

1 Corinthians 10:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo wapenzi wangu, zikimbieni ibada za sanamu.

1 Corinthians 10:14 in English

1 Corinthians 10:14 · Berean Standard Bible

Therefore, my beloved, flee from idolatry.

Context

12Hivyo, yeye ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke. 13Hakuna jaribu lolote lililowapata ambalo si la kawaida kwa wanadamu. Naye Mungu ni mwaminifu; hataruhusu mjaribiwe kupita mnavyoweza. Lakini mnapojaribiwa atawapa njia ya kutokea ili mweze kustahimili. 14Kwa hiyo wapenzi wangu, zikimbieni ibada za sanamu. 15Nasema watu wenye ufahamu, amueni wenyewe kuhusu haya niyasemayo. 16Je, kikombe cha baraka ambacho tunakibariki, si ushirika katika damu ya Kristo? Mkate tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.