1 Nyakati 9:23
1 Chronicles 9:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wao na wazao wao walikuwa viongozi wa kulinda malango ya nyumba ya Bwana, nyumba iliyoitwa Hema.
1 Chronicles 9:23 in English
1 Chronicles 9:23 · Berean Standard Bible
So they and their descendants were assigned to guard the gates of the house of the LORD—the house called the Tent.
Context
21Zekaria mwana wa Meshelemia alikuwa bawabu katika ingilio la Hema la Kukutania. 22Jumla ya waliochaguliwa kuwa mabawabu katika sakafu za kupuria nafaka walikuwa watu 212. Waliandikishwa kwa koo zao kwenye vijiji vyao. Mabawabu hawa waliwekwa katika nafasi zao za kuaminiwa na Daudi pamoja na mwonaji Samweli. 23Wao na wazao wao walikuwa viongozi wa kulinda malango ya nyumba ya Bwana, nyumba iliyoitwa Hema. 24Mabawabu walikuwa pande zote nne: mashariki, magharibi, kaskazini na kusini. 25Ndugu zao katika vijiji vyao walikuwa wakija mara kwa mara na kuwasaidia katika kazi zao kwa vipindi mbalimbali vya siku saba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.