Native Bible

1 Chronicles 8:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni. Mke wake aliitwa Maaka.

1 Chronicles 8:29 in English

1 Chronicles 8:29 · Berean Standard Bible

Jeiel the father of Gibeon lived * in Gibeon. His wife’s name was Maacah,

Context

27Yaareshia, Eliya na Zikri walikuwa wana wa Yerohamu. 28Hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao wakuu, kama ilivyoorodheshwa katika koo zao, nao waliishi Yerusalemu. 29Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni. Mke wake aliitwa Maaka. 30Mwanawe mzaliwa wa kwanza alikuwa Abdoni, akafuatiwa na Suri, Kishi, Baali, Neri, Nadabu, 31Gedori, Ahio, Zekeri,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.