1 Nyakati 8:27
1 Chronicles 8:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yaareshia, Eliya na Zikri walikuwa wana wa Yerohamu.
1 Chronicles 8:27 in English
1 Chronicles 8:27 · Berean Standard Bible
Jaareshiah, Elijah, and Zichri were the sons of Jeroham.
Context
25Ifdeya na Penueli. 26Shamsherai, Sheharia, Athalia, 27Yaareshia, Eliya na Zikri walikuwa wana wa Yerohamu. 28Hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao wakuu, kama ilivyoorodheshwa katika koo zao, nao waliishi Yerusalemu. 29Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni.
Mke wake aliitwa Maaka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.