Native Bible

1 Chronicles 8:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hushimu alimzalia: Abitubu na Elpaali.

1 Chronicles 8:11 in English

1 Chronicles 8:11 · Berean Standard Bible

He also had sons by Hushim: Abitub and Elpaal.

Context

9Kwa mkewe Hodeshi, akawazaa wana saba: Yobabu, Sibia, Mesha, Malkamu, 10Yeuzi, Sakia na Mirma. Hawa ndio waliokuwa wanawe, viongozi wa jamaa zao. 11Hushimu alimzalia: Abitubu na Elpaali. 12Wana wa Elpaali walikuwa: Eberi, Mishamu, Shemedi (aliyeijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji vilivyoizunguka), 13na Beria na Shema, waliokuwa viongozi wa zile jamaa zilizokuwa zinaishi katika mji wa Aiyaloni, na ambao waliwafukuza wenyeji wa Gathi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.