1 Nyakati 8:10
1 Chronicles 8:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeuzi, Sakia na Mirma. Hawa ndio waliokuwa wanawe, viongozi wa jamaa zao.
1 Chronicles 8:10 in English
1 Chronicles 8:10 · Berean Standard Bible
Jeuz, Sachia, and Mirmah. These were his sons, heads of families.
Context
8Shaharaimu aliwazaa wana katika nchi ya Moabu baada ya kuwapa talaka wake zake wawili yaani, Hushimu na Baara. 9Kwa mkewe Hodeshi, akawazaa wana saba: Yobabu, Sibia, Mesha, Malkamu, 10Yeuzi, Sakia na Mirma. Hawa ndio waliokuwa wanawe, viongozi wa jamaa zao. 11Hushimu alimzalia: Abitubu na Elpaali. 12Wana wa Elpaali walikuwa:
Eberi, Mishamu, Shemedi (aliyeijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji vilivyoizunguka),
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.