1 Nyakati 7:34
1 Chronicles 7:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Shemeri walikuwa: Ahi, Roga, Yehuba na Aramu.
1 Chronicles 7:34 in English
1 Chronicles 7:34 · Berean Standard Bible
The sons of Shemer: Ahi, Rohgah,* Hubbah, and Aram.
Context
32Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao. 33Wana wa Yafleti walikuwa:
Pasaki, Bimhali na Ashvathi.
Hawa walikuwa wana wa Yafleti. 34Wana wa Shemeri walikuwa:
Ahi, Roga, Yehuba na Aramu. 35Wana wa Helemu ndugu yake walikuwa:
Sofa, Imna, Sheleshi na Amali. 36Wana wa Sofa walikuwa:
Sua, Harneferi, Shuali, Beri, Imra,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.